Kundi la raia wa mtandaoni wa Iran na wanaharakati waliandika [1] barua ya wazi [2] kwa rais wa Iran Hassan Rouhani na kumtaka kutumia mamlaka yake ya kukomesha unyanyasaji [3]‘wanachama wa familia’ wa waandishi wa habari wa Iran. Zaidi ya watu 100, kutoka ndani na nje ya Iran, walitia saini barua hii ya wazi.
“Acheni Unyanyasaji wa ‘Wanachama wa Familia’ za Waandishi wa Habari wa Iran”
· Imeandikwa na Farid Imetafsiriwa na Joyce Maina
Mada za Habari: Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Iran, Harakati za Mtandaoni, Maandamano, Uandishi wa Habari za Kiraia