Unaona lugha zote hapo juu? Tunatafsiri habari za Global Voices kufanya habari za kidunia zimfikie kila mmoja.

16 Novemba 2013

Habari kutoka 16 Novemba 2013

India: Watu Zaidi ya Milioni 60 Wanaugua Ugojwa wa Kisukari

Simulia Hadithi Yako Kupitia Programu ya StoryMaker na Ushinde €1,000

Sauti Chipukizi

Tumia Programu tumizi ya StoryMaker kusimuliza habari zako na ushindanie zawadi ya €1,000. Hadithi zote zitakazoingizwa kwenye www.storymaker.cc zinakuwa zimeingia kwenye mashindano. Shirika la Free...

Mkutano wa Global Voices Cairo, Misri

Sauti Chipukizi

Mkutano mwingine wa Global Voices unapangwa kufanyika Novemba 16 jijini Cairo, Misri. Tafadhali shiriki na wanachama wetu wa Jumuiya ya GV kwa kusanyiko hili maalumu.