Tovuti ya ki-Malagasi iitwayo Madatsara [1] imetengeneza tovuti utakayotumika kama majukwaa ya kuwapima wagombea wote wa Urais [2][fr]. Majukwaa yote yametengwa katika mada tisa kuwasaidia wananchi kufanya maamuzi ya busara wakati wa uchaguzi. Uchaguzi wa Rais umepangwa kufanyika tarehe 25 Oktoba [3], 2013 :
Zana ya Mtandaoni ya Kuwapima Wagombea Urais Nchini Madagaska
· Imeandikwa na Lova Rakotomalala Imetafsiriwa na Joyce Maina
Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Madagaska, Harakati za Mtandaoni, Mawazo, Siasa, Teknolojia, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uchaguzi, Utawala, Vyombo na Uandishi wa Habari