- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Yemeni: Bundi Atua Nje ya Dirisha Langu

Mada za Habari: Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Yemen, Mazingira, Uandishi wa Habari za Kiraia

Mwanablogu wa Yemeni, Abdulkader Alguneid amkuta bundi nje ya dirisha lake:

Kupitia mtandao wa Twita, anaelezea tukio hilo ambalo ni nadra sana kutokea: