- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Vyuo Vikuu Vingi Mno Nchini Singapore?

Mada za Habari: Asia Mashariki, Singapore, Elimu, Uandishi wa Habari za Kiraia, Vijana

Limpeh anabaini ongezeko kubwa [1] la taasisi za eleimu ya juu nchini Singapore. Je, hizo ni habari njema au mbaya kwa nchi ya Singapore?

…kupanuka huku [kwa elimu ya juu] kumekuwa na matokeo mabaya kwa soko? Kwa hiyo wakati kupanuka huku kunaweza kuwa kumeongeza ajira kwa baadhi ya baadhi ya watu (jambo ambalo ni jema), lakini wazazi wangapi wanataka kuona watoto wao wakiishia kwenye vyuo hivi vinavyozalisha watu wasiokidhi mahitaji ya soko…