- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Namna Wanawake Nchini India Wanavyoweza Kujilinda

Mada za Habari: Asia ya Kusini, India, Sheria, Uandishi wa Habari za Kiraia, Wanawake na Jinsia

Ukatili dhidi ya wanawake umezidi kushika kasi nchini India. Mwandishi na mwanablogu Shilpa Garg [1] aweka bayana dondoo za namna ambavyo wanawake wanavyoweza kuchukua tahadhari na kujilinda.