- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

‘Mwanablogu Mzuri Lazima Awe na Sifa za Asili za Waandishi Wazuri wa Habari’

Mada za Habari: Kameruni, Harakati za Mtandaoni, Mawazo, Uandishi wa Habari za Kiraia, Vyombo na Uandishi wa Habari, Wasifu wa Wanablogu

Dorothée Danedjo Fouba [1], mshindi wa tuzo ya “Blogu Bora ya Teknolojia Afrika, iliyotolewa Tuzo za Uandishi wa Kiraia za Telkom-Highway Africa 2013 [2]“, alizungumza na Dibussi Tande (@dibussi) kuhusu maendeleo yake katika tasnia hii, na sifa zinazohitajika ili kufanikiwa [3].