Kwenye mtandao wa Twitter, Nancy anauliza kama chama cha FJP [1] cha Muslim Brotherhoodhad kiemtumia bango lililotumika kwenye filamu ya Vita ya Dunia Z: Simulizi la Historia ya Vita ya Zombie [2], katika kuitisha maandamano yanayopangwa kuwa Oktoba 6:
Did the #FjP [3] wametumia bango la Vita ya Dunia Z kuitisha maandamano ya #Oct6 [4]? h/t @POMEDwire [5] pic.twitter.com/9nAhHRSrsF [6]
— Nancy | نانسي (@nfm) October 4, 2013 [7]
Tamarod [8], ambayo inatafsirika kama uasi, pamoja na Muslim Brotherhood wameitisha maandamano mnamo Oktoba 6 [9], ambayo yanaadhimisha tarehe 6 ya Oktoba au Vita vya Yom Kippur [10], kati ya Waarabu na Waisrael.