Kwenye mtandao wa Twitter, Nancy anauliza kama chama cha FJP cha Muslim Brotherhoodhad kiemtumia bango lililotumika kwenye filamu ya Vita ya Dunia Z: Simulizi la Historia ya Vita ya Zombie, katika kuitisha maandamano yanayopangwa kuwa Oktoba 6:
Did the #FjP wametumia bango la Vita ya Dunia Z kuitisha maandamano ya #Oct6? h/t @POMEDwire pic.twitter.com/9nAhHRSrsF
— Nancy | نانسي (@nfm) October 4, 2013
Tamarod, ambayo inatafsirika kama uasi, pamoja na Muslim Brotherhood wameitisha maandamano mnamo Oktoba 6, ambayo yanaadhimisha tarehe 6 ya Oktoba au Vita vya Yom Kippur, kati ya Waarabu na Waisrael.