- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Hong Kong: Video Inayosambazwa Mtandoni Yamwonyesha Jamaa Akipigwa Makofi Mara 14 na Rafiki Yake wa Kike

Mada za Habari: Asia Mashariki, Hong Kong (China), Uandishi wa Habari za Kiraia, Wanawake na Jinsia


Kama inavyoelezwa [1] na Tom Grundy, mpita njia aliwaita polisi na mwanamke huyo aliwekwa chini ya ulinzi kwa kumpiga vibao rafiki yake wa kiume aliyekuwa amepiga magoti mbele yake akimwomba msamaha kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani.