- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Fuatilia SafariYaGariAfrika Mtandaoni

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Kenya, Rwanda, Tanzania, Uganda, Safari, Teknolojia, Uandishi wa Habari za Kiraia

Kikundi [1] cha watengenezaji na wabunifu wa teknolojia kutoka Ulaya ambao wanadadisi ukuaji wa vituo vya teknolojia barani Afrika wanaendelea na safari yao ya gari barani humu.

Tazama blogu [2] yao au Tumblr [3] na ufuatilie mjadala kuhusu safari yao kwenye mtandao wa Twita [4].