Dakar, mji kuu wa Senegal, umekumbwa na uhaba wa maji kwa siku 15 zilizopita [1] [fr]. Wa-Senegali katika mitandao ya kijamii wanazoea tatizo hili kwa kufanyiana utani na uvumilivu. AlamaHabari (Hashtag) #eausecours [2] (#H2OUT) inatumika hivi sasa kwneye mtandao wa twita na Facebook kutaniana kuhusiana na ukosefu wa maji safi unaoendelea, kama ilivyoonekana kwenye twiti hii :
I feel u guys #EauSecours [3] pic.twitter.com/Olic1YqvAU [4]
— Rainman (@Ares210) September 25, 2013 [5]
Ninawahisi jamaa zangu wote