- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Baa la Njaa Nchini Haiti

Mada za Habari: Nchi za Caribiani, Haiti, Chakula, Majanga, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Utawala, Vyombo na Uandishi wa Habari

Kwa nini – wakati nchi imepokea misaada ya chakula yenye thamani ya si chini ya dola za kimarekani bilioni moja wakati wa majanga ya matetemeko ya ardhi ya mwaka 1995 na 2010 – bado baa la njaa linaongezeka?

Blogu ya Haiti Grassroots Watch [1] inasaili “malalamiko na tetesi kuhusu matumizi mabovu au hata matokeo yasiyotarajiwa ya misaada ya chakula.”