Habari kutoka 24 Oktoba 2013
Kampeni ya Mtandaoni ya Kudai Amani Nchini Msumbiji
Blogu ya Mozmaniacos [pt] imezindua kampeni ya mtandaoni ya kudai amani nchini Msumbiji, kufuatia tishio la kuhatarisha amani iliyodumu kwa miaka 20 . Kwa kutumia kiungo habari #MozQuerPaz (#MozWantsPeace), watumiaji wa...