Habari kutoka 4 Oktoba 2013
PICHA: Maisha Nchini Myanmar
Mpiga picha Geoffrey Hiller ameweka kumbukumbu ya maisha yake nchini Myanmar kuanzia mwaka 1987 mpaka kipindi cha kihistoria kutokea nchini humo
Korea Kusini: Mwandishi Msafiri, Utamaduni Tofauti, na Jamii ya Wageni
John Bocskay, mwanablogu asiyeandika mara nyingi sana alifanya mahojiano na mwandishi wa utalii Rolf Potts aliyetumia miaka kadhaa kwenye jiji la pili kwa ukubwa nchini Korea Kusini, Pusan, anasema: Kila...
China: Miitikio ya Raia wa Mtandaoni Kufuatia Muswada wa Sheria ya Kurithi Kodi
Watumiaji wa mtandao nchini China walionyesha kutokuridhishwa kwao na muswada wa sheria unaopendekeza uwezekano wa kurithiwa kodi zinazoanzia yuan RMB 800,000 [yuan ni sarafu ya nchi hiyo]. Badala ya kuziba...
Kuwasaidia Waathirika wa Tetemeko la Balochistan
Zaidi ya watu 300,000 wameathirika kufuatia tetemeko la hivi karibuni katika wilaya sita za Jimbo la Balochistan nchini Pakistan. Kashif Aziz wa mtandao wa Chowrangi anatoa habari za namna ya...
#EauSecours: AlamaHabari ya Kufanyia Mzaha Tatizo la Maji Dakar, Senegal
Dakar, mji kuu wa Senegal, umekumbwa na uhaba wa maji kwa siku 15 zilizopita [fr]. Wa-Senegali katika mitandao ya kijamii wanazoea tatizo hili kwa kufanyiana utani na uvumilivu. AlamaHabari (Hashtag)...