- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Vyombo vya Habari vya Magharibi na Taswira ya Ellen Sirleaf Johnson

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Liberia, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Vyombo na Uandishi wa Habari

Aaron Leaf anajadili [1] jinsi taswira ya rais wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf, hujengwa na vyombo vya habari kimagharibi kama alama ya mambo yote mazuri. Anasema kwamba hili ndiyo simulizi lililomwezesha Sirleaf kuwa mhimili wa maendeleo ya kimataifa na uwezeshaji wa wanawake.