- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

South Korea: Ahadi ya Rais ya Ustawi Iliyoshindwa Yakosolewa

Mada za Habari: Asia Mashariki, Korea Kusini, Harakati za Mtandaoni, Maandamano, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uchaguzi

Rais Park yuko kwenye wakati mgumu kwa r  ahadi yake aliyoitoa wakati wa kampeni kuwa angepandisha ruzuku ya pensheni gharama za mafunzo. Wakosoaji wanasema kampeni yake iliahidi kinyume na sera yake kama mgombea mhafidhina, ilimsaidia kuzoa kura katika uchaguzi uliopita. Akaunti ya mtandao wa twita wa @metempirics [1] ilikusanya [2]viunganishi vinavyohusika na miitikio ya mtandaoni katika kipengele cha Habari (Storify).