- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Iran: “Mauaji” ya Wapinzani wa Iran 52 Wasiokuwa na Silaha

Mada za Habari: Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Iran, Iraq, Haki za Binadamu, Maandamano, Mahusiano ya Kimataifa, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Utawala

Vikosi vya usalama vya Iraq vilifanya “mauaji” ya wapinzani  wa Iran [1] wapatao 52 ambao hata hivyo hawakuwa na silaha  asubuhi ya Jumapili ndani ya kambi yao kaskazini mwa Baghdad, mujahedeen-e-Khalq [2], wafungwa wa Iran walisema. Netizens in Balatarin, tovuti maarufu ya kusambaza habarii, iliweka [3]picha kadhaa, filamu na posti kuhusiana na shambulio hilo.