- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Boko Haram Waua Wanafunzi 50 wa Chuo Kikuu Nchini Naijeria

Mada za Habari: Naijeria, Habari za Hivi Punde, Vita na Migogoro

Kikundi cha kigaidi cha Naijeria Boko Haram kimewawasha moto bwenini na kuwaua wanafunzi wasiopungua 50 [1] wa Chuo Kikuu cha Kilimo kilichopo kwenye Jimbo la Yobe, wakiwa usingizini. Rais Goodluck Jonathan alitangaza hali ya hatari katika eneo hilo kufuatia mfululizo wa vitendo vya kigaidi.