- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Bhutan: Sheria za Uchaguzi Zahitaji Mabadiliko

Mada za Habari: Asia ya Kusini, Bhutan, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uchaguzi, Utawala

Yeshey Dorji [1] anaunga mkono hatua ya Baraza la Taifa Butan kuanzisha mjadala wa rushwa wakati wa uchaguzi ambazo zimeripotiwa wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopita zinazohitaji marekebisho yanayowezekana ya sheria ya uchaguzi.