- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Wanaharakati wa Hongkong Walaani Mauaji ya Halaiki Mjini Cairo

Mada za Habari: Asia Mashariki, Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Hong Kong (China), Misri, Maandamano, Uandishi wa Habari za Kiraia, Vita na Migogoro
Hong Kong activists from League of Social Democrats and Socialist Action protested outside Egypt Consulate and condemned the military over Cairo Massacre on August 14, 2013. Photo from inmediahk.net. [1]

Leo, kundi la wanaharakati wa Hong Kong kutoka Chama cha Demokrasia na Ujamaa (LSDS) waliandamana nje ya ubalozi wa Misri na kulilaani jeshi kwa mauaji ya halaiki mnamo Agosti 14 mjini Cairo. Picha kutoka kwa inmediahk.net.