Serikali nchini Uzbekistan inatafuta namna ya kutumia hatua kali za kudhibiti wanablogu wa nchi hiyo. Alisher Abdugofurov kwenye Registan.net anajadili [1] sababu ya kutokea hali hii katika jamii ambayo haina wanablogu wengi wa kuanzia zoezi hilo.
Serikali ya Uzbeki Yatafuta Namna ya Kudhibiti Wanablogu
· Imeandikwa na Alexander Sodiqov Imetafsiriwa na Joyce Maina
Mada za Habari: Asia ya Kati, Uzbekistan, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia