- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Iran: Mwanablogu Aliyefungwa Jela Afanya Mgomo wa Kutokula

Mada za Habari: Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Iran, Haki za Binadamu, Harakati za Mtandaoni, Maandamano, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Utawala

Hossein Ronaghi Malki [1] mwanablogu anayetumikia kifungo cha miaka 15 jela alianza [2] mgomo wake wa kutokula kuanzia wiki iliyopita. Kwenye mtandao wa Facebook kampeni imeanzishwa yenye lengo la kummwuunga mkono [3].