- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Watu Sitini Wauawa Kwenye Mapigano Mjini Nzérékoré, Guinea

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Guinea, Dini, Habari za Hivi Punde, Haki za Binadamu, Majanga, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Ubaguzi wa Rangi, Utawala, Vita na Migogoro

Tovuti ya Guinee News inaripoti idadi ya vifo kufikia 60 kutokana na mauaji ya Nzérékoré, Guinea [1] [fr] :

Les cinquante deux corps qui étaient non identifiables ont été enterrés dans une fosse commune hier. Les autres corps reconnaissables ont été remis à leurs familles.

miili 52 ambayo haikutambulika ilizikwa kwenye kaburi la pamoja jana. Miili minngine ilirudishwa kwa wafiwa.