Tovuti ya Guinee News inaripoti idadi ya vifo kufikia 60 kutokana na mauaji ya Nzérékoré, Guinea [fr] :
Les cinquante deux corps qui étaient non identifiables ont été enterrés dans une fosse commune hier. Les autres corps reconnaissables ont été remis à leurs familles.
miili 52 ambayo haikutambulika ilizikwa kwenye kaburi la pamoja jana. Miili minngine ilirudishwa kwa wafiwa.