- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Mwandamanaji Amtaka Morsi Kuondoka Kwa Lugha ya Mafumbo

Mada za Habari: Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Misri, Maandamano, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Vichekesho

Maandamano makubwa ya kumtaka rais wa Misri Mohamed Morsi ajiuzulu yanaendelea nchini Misri kwa siku ya tatu sasa.

An innovative protest sign. Leave written in 14 languages coded in QR. Photograph shared on Twitter by @AssemMemon [1]

Bango la Maandamano. Neno ondoka limeandikwa katika lugha 14 za mafumbo. Picha imewekwa kwenye mtandao wa Twita na  @AssemMemon [1]


Kwenye mtandao wa Twita, Assem Memon anaweka picha iliyopigwa kwenye maandamano:

@AssemMemon [1]: Bango la Maandamano. Neno ondoka limeandikwa katika lugha 14 za mafumbo. Picha imewekwa kwenye mtandao wa Twita na @ alaafareed pic.twitter.com/S7OOSDfpV6