- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Hali ya Kidiplomasia Kati ya Zimbabwe na Nchi za Magharibi

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Zimbabwe, Mahusiano ya Kimataifa, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uchaguzi

Simukai Tinhu, mchambuzi wa masuala ya siasa anayeishi London, anauliza [1], “Je, mahusiano ya Zimbabwe na nchi za kimagharibi yanaimarika kadri uchaguzi unavyokaribia?”