- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Wanaharakati 36 wa Azeri Wakamatwa nchini Iran

Mada za Habari: Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Iran, Haki za Binadamu, Uandishi wa Habari za Kiraia, Utawala

Wanaharakati thelathini na sita wa Azeri akiwamo mwanablogu mmoja, Kiaksar, walikamatwa [1] siku ya Alhamisi, 27 Juni katika eneo la Urmia [2]. Vikosi vya usalama viliwaachilia huru wanaharakati hao 300 baada ya kuwahoji kwa masaa kadhaa.