- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Uzuri wa Mlima Everesti Nyakati za Usiku

Mada za Habari: Asia ya Kusini, Nepali, Mawazo, Mazingira, Safari, Uandishi wa Habari za Kiraia, Upiga Picha

Sinema fupi [1] za Elia Saikaly zimenasa uzuri mkuu wa Mlima Everesti nyakati za usiku kwa kila sekunde.

Anasimulia kwenye blogu yake [2] uzoefu wake wa kupanda hadi kilele cha Mlima Everest kwa mara ya pili.