- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Kufilisika kwa Watu nchini Malaysia

Mada za Habari: Asia Mashariki, Malaysia, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uchumi na Biashara

iMoney.my wametengeneza [1] mchoro unaoelezea takwimu za kufilisika [2] nchini Malaysia. Wastani wa matukio 20,000 ya kufilisika yamerekodiwa mwaka 2012 hiyo na maana kwamba wa-Malaysia 53 wanafilisika kila siku.