- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Jamaica: Watoto kama Wasanii

Mada za Habari: Nchi za Caribiani, Jamaica, Mawazo, Sanaa na Utamaduni, Uandishi wa Habari za Kiraia, Vijana

Blogu ya Maonyesho ya Sanaa ya Taifa Nchini Jamaika [1] inayo msisimko kuhusu maonyesho yajayo ya sanaa ya watoto, ambayo yataonyesha “mwitikio wa pekee wa watoto kwa maswali kuhusu udadisi wao na msukumo wa aina tofauti wa ubunifu unaokua.”