Patrick Rajoelina anahoji [fr] kisheria, ikiwa rais wa mpito Andry Rajoelina bado anataka kugombea katika uchaguzi ujao wa raia nchini Madagaska, basi hatakuwa na sifa tena za kuwa rais, kwa mujibu wa makubaliano yaliyotiwa saini na vyama vyote vya nchi hiyo mwaka 2011. Waziri Mkuu wa sasa Beriziky alitoa tamko tarehe 30 Mei [fr] kwamba Andry Rajoelina hana sifa tena ya kuendelea kushiriki vikao vya serikali kwa sababu alipaswa tayari awe ameshajiuzulu nafasi yake.
1 maoni