- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Bajeti ya Bangladesh: Maoni na Uchambuzi

Mada za Habari: Asia ya Kusini, Bangladesh, Maendeleo, Sheria, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uchumi na Biashara, Utawala

“Bajeti ya kifahari lakini mpango duni?” Raia wa kawaida [1] anatoa maoni na kuichambua bajeti ya hivi karibuni ya Bangladesh kwa mwaka wa fedha 2013-2014. [2]