- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Athari za Mazingira kwa Uchimbaji Madini Nchini Indonesia

Mada za Habari: Asia Mashariki, Indonesia, Mazingira, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uchumi na Biashara, Utawala

Makala iliyochapishwa katika mtandao wa mongabay.com imefichua athari za uharibifu wa kimazingira [1]ziazotokana na shughuli za uchimbaji madini katika maeneo ya vijiji nchini Indonesia. Baadhi ya wanazuoni wanahofia kwamba maeneo mengi nchini Indonesia yana kiwango cha juu kabisa cha zebaki duniani.