8 Juni 2013

Habari kutoka 8 Juni 2013

Vijiwe Vya Usomaji Gazeti Mjini Mumbai Vyazorota

Vachanalays (vituo vya kusoma magazeti) ni jambo la kawaida katika vitongoji vingi mjini Bombay ambapo wenyeji husoma magazeti na kujadili habari zilizotokea siku husika. Sans Serif anaripoti jinsi vituo hivyo vinavyozidi...

8 Juni 2013