Habari kutoka 5 Juni 2013
Mradi wa Kumbukumbu za Kihistoria Nchini Singapore
Ukiwa umeanzishwa mwaka wa 2011, Mradi wa Kumbukumbu za Singapore unalenga “kukusanya, kuhifadhi na kuhakikishia upatikanaji” wa historia ya Singapore. Zaidi ya hayo, “ina lengo la kutengeneza mkusanyiko wa maudhui ya...
Uganda: Hatimaye Magazeti Yaliyofungiwa na Polisi Yafunguliwa
Uganda imeruhusu magazeti mawili kufunguliwa tena baada ya msuguano uliodumu kwa siku 11 kati ya serikali na vyombo vya habari juu ya barua yenye waliyoipata ambayo iliyoonyesha njama ya kumtayarisha mtoto wa kwanza wa Rais Yoweri Museveni kumrithi kiongozi huyo aliyedumu kwa miaka 27.
Tunisia: Mwanaharakati wa FEMEN Akabiliwa na Mashtaka Mapya
Wakati mwanaharakati wa FEMEN raia wa Tunisia Amina Tyler akitarajiwa kupanda kizimbani kusomewa mashitaka mapya mnamo Juni 5, chama cha Upinzani kimekosolewa kwa kukaa kimya na kushindwa kumwunga mkono binti huyo