- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

TEDXSão Tomé: Mkutano Wanukia São Tomé na Príncipe

Mada za Habari: Sao Tome na Principe, Harakati za Mtandaoni, Mawazo, Teknolojia, Uandishi wa Habari za Kiraia
TEDXSão Tomé

TEDXSão Tomé

Uandikishaji wa awali [1] kwa ajili ya mkutano wa TEDXSão Tomé umezinduliwa rasmi. Mkutano huo una kaulimbiu inayosema “Visiwa Vimeunganishwa : São Tomé + Príncipe = Áfrika Vimeunganishwa na Ulimwengu” na utafanyika tarehe 20 Juni. Wasemaji katika mkutano huo waliothibitishwa ni pamoja: Dynka Amorim [2], Ismael Sequeira [3], Profesa Robert Drewes [4] na Aoaní d'Alva [5]. Tiketi linapatikana kwa Euro 20. Zaidi kuhusu mkutano huo tembelea ukurasa wa Facebook [6] na tovuti [7] [viungo vyote katika lugha ya Kireno].