Baada ya mgomo wa madaktari [1] uliodumu kwa takribani juma moja nchini Msumbuji, Dr. Jorge Arroz, Rais wa Associação Médica de Moçambique [2], amekamatwa usiku wa Jumapili, Mei 26, 2013, kwa tuhuma za “uchochezi [3]” (kuhamasisha watu kutokuridhishwa au kuiasi serikali). Kwenye mtandao wa Twita na Facebook, @verdademz [4], @canal_moz [5] na ripoti nyingine za watumiaji wa mitandaoni.
Rais wa Chama cha Madaktari Msumbiji Akamatwa
· Imeandikwa na Sara Moreira Imetafsiriwa na Mghosya
Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Msumbiji, Afya, Habari za Hivi Punde, Haki za Binadamu, Maandamano, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uhuru wa Kujieleza