- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

‘Igundue Somalia’ Blogu ya Picha na Utamaduni

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Somalia, Sanaa na Utamaduni, Uandishi wa Habari za Kiraia, Upiga Picha

Igundue Somalia [1] ni blogu ya Picha na Utamaduni maalumu kwa Somalia. Blogu hiyo inakusudia kutangaza vyema sura sahihi ya Somalia kwenye vyombo vya habari na vipaji vya watu wake, masuala ya urembo na raslimali asilia.