- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Botswana: Kuibwa kwa Kazi ya Sanaa ya “Bushman's Secrets”

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Botswana, Habari za wenyeji, Haki za Binadamu, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uchumi na Biashara

MyWeku anaichambua filamu yenye maudhui halisi [1] (documentary) inayoelezea wizi wa kazi ya sanaa ya Sana iitwayo “Bushman's secrets”:

Filamu hii inachora picha inayosikitisha ya namna ambavyo Uniliver, kampuni inayojinadi kama “mzalishaji mkubwa tena nambari moja duniani wa barafu zitengenezwazo kwa maziwa maarufu kama ice cream,” sasa linatumia bila aibu maudhui ya kazi ya sanaa ya Bushman's Secrets kujitangaza kama bidhaa ya kupunguza uzito.