- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Tanzania: Ghorofa Laporomoka jijini Dar Es Salaam

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Tanzania, Majanga, Uandishi wa Habari za Kiraia

Pernille anaweka picha mtandaoni [1] zinazoonyesha ghorofa lililoporomoka jijini Dar Es Salaam, Tanzania siku ya Ijumaa, 29 Machi 20013: “Karibu kabisa na jengo hilo kuna uwanja wa kandanda unaotumiwa na watoto. Zaidi ya watu 60, pamoja na watoto, wanaripotiwa kupotea kwa mujibu wa kituo cha televisheni cha ITV. Hakuna kauli rasmi iliyotolewa mpaka sasa.”