- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Jaribio la Mapinduzi katika Visiwa vya Comoro

Mada za Habari: Chad, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Komoro, Habari za Hivi Punde, Mahusiano ya Kimataifa, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Utawala

Jeshi la Pilisi nchini Comoro limesema linawashikilia watu wanaosemekana kuwa wahaini raia wa Kongo na Chadi kwa tuhuma za jaribio la kuiangusha serikali lililofanyika mwisho wa wiki. Linfo.re anaongeza kwamba [1] [fr]:

Makamanda wa Jeshi hawakutaka kupambana waziwazi na wahaini hao. Waliamini kwamba ” Kujeruhi raia wa Comoro kwa lengo la kuwalinda wakubwa inaleta picha ya usaliti kwa nchi hiyo ya Comoro”.