- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Udhaifu wa Watawala wa Afrika unajionesha Mali?

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Mali, Haki za Binadamu, Maendeleo, Mahusiano ya Kimataifa, Mwitikio wa Kihisani, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Utawala, Vita na Migogoro

Ousmane Gueye katika tovuti ya Mondoblog anaandika [1] [fr] kuhusu kuchelewa kupeleka vikosi vya kijeshi kasikazini mwa Mali:

Kama tungekuwa tunasaiili matokeo ya watu wenye amani na huru kuingilia kati hali ya mambo nchini Mali, basi ni wazi kuwa kwa kuchelewa kupeleka vikosi vya ulinzi, nchi za Afrika zimewakosea wananchi wa Mali kwa mara nyingi…kelele zote za wakuu wa nchi lakini bado hawajaweza kutimiza lengo lolote waliloliweka wao kama hatua ya kupunguza nguvu ya Waslamu wenye msimamo mkali nchini Mali.