- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Blogu 10 Bora za Mapishi ya ki-Afrika

Mada za Habari: Afrika Kusini, Botswana, Guinea, Kameruni, Kenya, Naijeria, Chakula, Uandishi wa Habari za Kiraia

MyWeku anatengeneza orodha ya Blogu 10 bora za Mapishiya ki- Afrika kwa mwaka 2013: [1] “Inaonekana kuna blogu milioni moja zinazozungumzia mapishi, lakini ni chache sana zinazoonyesha vyakula vya Kiafrika. Pamoja na hayo imekuwa kazi ngumu kuchagua 10 kati ya nyingi nzuri kwa mwaka huu 2013.”