- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Mauritius na Visiwa vya Reunion Kukumbwa na Kimbunga Dumile

Mada za Habari: Uandishi wa Habari za Kiraia
[1]

Mvua kubwa ikinyesha nchini Mauritius wakati Kimbuka cha Dumile kikipiga hodi. Picha ya lexpress.mu -Kwa matumizi ya umma

Lexpress.mu linaripoti kwamba Mauritius iko kwenye hatari kubwa [1] [fr] kufuatia kisiwa hicho kunyemelewa na uwezekano wa Kimbunga cha Dumile. Kisiwa cha Agaléga cha nchi hiyo kiliathiriwa vibaya na kimbunga hicho [2] [fr] na nishati ya umeme ulikatika kwa masaa 24. Kisiwa cha Réunion pia kiko kwenye hatari kubwa [3] [fr].