Lexpress.mu linaripoti kwamba Mauritius iko kwenye hatari kubwa [fr] kufuatia kisiwa hicho kunyemelewa na uwezekano wa Kimbunga cha Dumile. Kisiwa cha Agaléga cha nchi hiyo kiliathiriwa vibaya na kimbunga hicho [fr] na nishati ya umeme ulikatika kwa masaa 24. Kisiwa cha Réunion pia kiko kwenye hatari kubwa [fr].