- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Matajiri Wakubwa China na Marekani Walinganishwa

Mada za Habari: Uandishi wa Habari za Kiraia

Liz Carter kutoka tovuti ya Tea Leaf Nation (Taifa la Jani la Chai) alitafsiri [1] taarifa ya picha ya tovuti ya CN politics [2][zh] (CN siasa), inayojaribu kulinganisha tabia za matajiri wa ki-China na ki-Marekani.