- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Tunisia: Mgomo Waanza jijini Thala

Mada za Habari: Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Tunisia, Habari za Wafanyakazi, Maandamano, Uandishi wa Habari za Kiraia

Kupitia mtandao wa twita, Tounsia Hourra (m-Tunisia huru) anasema [1] [ar] kuna mgomo mkubwa umeanza jijini Thala, kwenye jimbo la Kasserine, leo [Oktoba 8, 2012]. Mgomo huo umekuja kama hatua ya kupinga kukua kwa kasi kwa ukosefu wa ajira na kuzorota kwa maendeleo ya jiji hilo.


@tounisiahourra
: اضراب عام في تالة ( ولاية القصرين ) اليوم احتجاجا على ارتفاع معدلات البطالة واهمال صيانة المدينة

@tounisiahourra [1]: Mgomo mkubwa jijini Thala (jimbo la Kasserine) leo kupinga kuongezeka kwa ukosefu wa ajira na kuzorota kwa maendeleo ya jiji hilo.