- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Trinidad na Tobago: Ufisadi na Utawala wa Sheria

Mada za Habari: Nchi za Caribiani, Trinidad na Tobago, Sheria, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Utawala

Hivi karibuni, masuala ya utawala wa sheria yamekuwa yamekuwa yakitawala serikali iliyoko madarakani. Kwa kuwa na kipengere cha 34 ambacho hakifahamiki sana miongoni mwa wananchi, hali ya mambo imebadilika na kuwa utawala wa kiimla, na […] tunaweza kuona ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka yamebadilisha kabisa tabia za wale tuliowaona kama nguzo na mifano ya kuigwa katika jamii yetu.

Jumbie's Watch anaandika kuhusu utawala na kuheshimiwa kwa sheria katika nchi ya Trinidad & Tobago [1].