- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

DRC Kongo: Misuguano Kati ya Kinshasa na Paris Mkutano Unapoanza

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Ufaransa, Habari za Hivi Punde, Haki za Binadamu, Mahusiano ya Kimataifa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Utawala

Le Potentiel anaandika kwamba [1] [fr] tathmini ya Uvunjaji wa Haki za Binadamu nchini DRC Kongo iliyofanywa na Rais wa Ufaransa Hollande haikuchukuliwa kijuu juu na serikali ya Kongo wakati ambapo Mkutano wa nchi zizungumzazo Kifaransa ndio kwanza umeanza mjini Kinshasa, DRC. SErikali hizi mbili zinaonekana kutofautiana sana kuhusu mambo kama kifo cha mtetezi wa Haki za Binadamu Ndg Chebeya, tume ya taifa ya uchaguzi na uhitaji wa kamati itakayosimamia masuala ya haki za binadamu.